Shahidi : Chauvin aliikandamiza shingo ya Floyd ardhini
Your browser doesn’t support HTML5
Mmoja wa mashahidi katika kesi ya afisa wa zamani wa polisi wa Marekani, Derek Chauvin, aieleza mahakama shingo ya George Floyd ilikuwa imekandamizwa ardhini kwa goti na afisa huyo.