DRC: Serikali yadai waasi wa ADF wamehusika na shambulizi la bomu kanisani

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia Gavana wa Kivu kaskazini ametembelea mji wa Kasinga ambapo kumetokea mlipuko wa bomu katika kanisa moja.

Mlipuko huo umesababisha vifo, umewajeruhi baadhi ya waumini na kuharibu jengo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu hatua ambazo serikali inachukua kuhakikisha usalama wa wananchi...