Biden atoa dola milioni 100 kwa waathirika wa kImbunga Ida Louisiana
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Joe Biden ameitembelea Louisiana kuona uharibifu uliyosababishwa na KImbunga Ida na tayari serikali yake imeshatoa dola milioni 100 msaada wa moja kwa moja kwa watu wa Louisiana.