Serikali ya Uingereza yaruhusu wachezaji kukaribiana kwa tahadhari

Your browser doesn’t support HTML5

Uingereza yachukua hatua zaidi ya kuruhusu wachezaji kukaribiana zaidi wa michezo ya juu ya kulipwa ikiwa ni dalili ya uwezekano wa kuanza michuano ya michezo hiyo.