Serikali ya Tanzania yakosolewa inavyoshughulikia COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati maambukizi yakiongezeka nchini Tanzania serikali ya nchi hiyo imekosolewa kwa kutochukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona.