Serikali ya Tanzania yaamuru matumizi ya nishati mbadala

Your browser doesn’t support HTML5

Ikiwa ni hatua ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira, serikali ya Tanzania yahimiza sekta za umma kuanza matumizi ya nishati mbadala.