Serikali ya Netanyahu yaapishwa huku kikiwa na upinzani mkali

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Benjamin Netanyahu inaapishwa huku kukiwa na upinzani mkali kuhusu sera zake

Russia imepiga makombora nchini Ukraine na baadhi yake yamenaswa huku uharibifu mkubwa ukiendelea dhidi ya mfumo wa umeme.

Pia tunakuletea matukio muhimu ya mwaka 2022, endelea kutusikiliza...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari