Serikali ya Marekani yasisitiza mshikamano wake na Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Marekani nchini Nigeria Mary Beth Leornard aeleza kuwa nchi yake itaendelea kuisaidia serikali ya Nigeria kutengeneza fursa za ajira na amesisitiza itaendelea kusaidia katika mitaji na nafasi za ajira.