Serikali ya Afrika Kusini yakosolewa inavyoshughulikia COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wawakilishi wa wauguzi na wafanyakazi wa afya Afrika Kusini wakosoa serikali inavyoshughulikia maambukizi ya COVID-19.