Sera mpya za mazingira Kenya zawapa jamii nafasi ya kulinda misitu yao

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi waendelea kuiokoa misitu Kenya baada ya uharibifu mkubwa uliofanywa wenyeji kuvuna kuni na kulisha mifugo na kukosekana ulinzi ambapo hivi sasa sera mpya imeipa jamii nafasi ya kulinda misitu yao.