Seneti Marekani kujadili msaada wa ahueni na kesi ya Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Seneti Marekani latarajia kujadili msaada wa ahueni ya kiuchumi ya dola za Marekani Trilioni 1.9 na kesi ya kumshtaki Rais za zamani Donald Trump
- Mvutano wa kisiasa wazuka Somalia baada ya muda wa kufanya uchaguzi mkuu kupita.

- Malawi yataraji kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya COVID-19.