Seneta Michael Bennette ataka programu ya TikTok kuondolewa

Your browser doesn’t support HTML5

Seneta Michael Bennette Mdemokrat ataka programu ya TikTok ambayo inamilikiwa na China inastahili kuondolewa kwenye programu za Apple. Endelea kusikiliza maelezo kamili kuhusu sababu zilizopelekea kuwepo shinikizo la kuondolewa huko na kuna hatari gani inaweza kusababisha Marekani...