Senegal: Fursa ya vijana kutumia eneo la pwani kuendeleza kipaji cha soka

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wanaazma ya kukuza vipaji vyao kupitia kandanda ya pwani nchini Senegal, wanataka kuwa wachezaji wa kulipwa na ndio ndoto yao inapoanzia na hatimaye kuingia katika timu ya Taifa ya Senegal.

Mmoja wa vijana wanaofanya bidii kukuza kipaji aneleza safari yake ya kandanda akitumia fursa ya soka ya pwani na kueleza changamoto zake. Endelea kusikiliza…