#voavalentinesday2021 : Salaam za Furaha ya Siku ya Valentine kutoka Africa!

Your browser doesn’t support HTML5

Kitu gani bora cha kuwatumia nyote wikiendi hii, kwa mnao sheherekea Siku ya Wapendanao (Valentine's Day) mlioko sehemu mbalimbali duniani, zaidi ya upendo na muziki? Heather Maxwell anawaletea vyote viwili katika miziki hii ya Tano bora.