Safari ya Mtanzania Leila Yusuph katika kujifunza ndondi

Your browser doesn’t support HTML5

Leila Yusuph mkazi wa Dar es Salaam, Tanzania aeleza safari yake ya kujifunza ndondi ili kujihami na manyanyaso yoyote ya kijinsia ambayo yanaweza kumkabili.