Sababu zilizopelekea mataifa ya Afrika kubadilisha mifumo ya kusafirisha bidhaa kuelekea Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Mataifa ya Afrika yanabadilisha mifumo ya kusafirisha bidhaa za mboga, matunda na maua kuelekea masoko ya Ulaya. Ungana na mwandishi wetu nchini Kenya akukuelezea sababu zilizopelekea mabadiliko hayo ya mikakati ya kibiashara.