Sababu za kivuko kati ya Marekani na Mexico kufungwa

Your browser doesn’t support HTML5

Kuwasili kwa wahamiaji kutoka Haiti kwa maelfu wakiweka kambi chini ya daraja ambalo linayaunganisha mataifa ya Marekani na Mexico na hivyo kusababisha kufungwa kwa kivuko kati ya nchi hizo mbili.