Duniani Leo : Aprili 7 : Rwanda yaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Rwanda Paul Kagame Jumatano ameadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi na baadhi ya Wahutu Kigali, Rwanda.
- Kenya yaondoa tozo ya kodi katika dawa za HIV na Ukimwi ambazo zilizuiwa kwa miezi mitatu.

- Mazungumzo baina ya Ethiopia, Sudan na Misri kuhusu ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme Ethiopia yaliyokuwa yakifanyika DRC yavunjika.