Rwanda, DRC zaikai suluhu la tatizo la madereva wa malori

Your browser doesn’t support HTML5

Ujumbe wa Rwanda na DRC wakutana kujadili tatizo la madereva wa mizigo wanaozuiliwa mipakani na kufikia muwafaka jinsi ya kulitatua.