Uingereza yafuta kesi ya Karake

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama moja nchini Uingereza imetupilia mbali kesi ya kusafirishwa nje, dhidi ya mkuu wa ujasusi wa Rwanda Karenzi Karake, ambaye alikuwa anatafutwa na taifa la Uhispania kukabiliana na mashtaka ya uhalifu wa kivita.