Russia yasitisha usambazaji wa gesi Bulgaria na Poland

Your browser doesn’t support HTML5

Russia imesistisha usambazaji wa gesi kwa Bulgaria na Poland Jumatano kwa kukataa kulipia gesi hiyo kwa fedha ya Russia ya Rouble ikilenga moja kwa moja uchumi wa Ulaya katika kulipiza kisasi kwa vikwazo vikali vya kimataifa kufuatia vita vya Ukraine.

- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, imeanza kampeni ya chanjo ya Ebola kupambana na mlipuko wa ugonjwa huo kaskazini magharibi mwa mji wa Mbandaka, Shirika la Afya Duniani limesema.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari