Russia yaendeleza mashambulizi mashariki mwa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Russia wameendelea kuishambulia miji ya mashariki mwa Ukraine na kulenga maeneo mengine kwa makombora.

-Mapambano makali yaendelea kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 eneo la Kivu kaskazini.

- Wananchi wa Tanzania waitaka serikali kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari