Russia yaendelea na mashambulizi nchini Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Russia ikiendelea kuishambulia Ukraine Rais wa Ukraine asema mashambulizi dhidi ya raia ni uhalifu wa kivita.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari