Russia yaendelea kupiga mabomu Ukraine, raia wauawa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Russia ikiendelea kuishambulia Ukraine huku Repoti zikielezea mji wa Kherson umeangukia mikononi mwa majeshi ya Russia, huku raia wakiendelea kuuawa.