Russia yachukua udhibiti wa mji wa Bakhmut, waamuru wanajeshi wa Ukraine kuondoka

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Russia wakisaidiwa na mamluki wa Wagner wamezingira Bakhmut na wanajeshi wa Ukraine wameagizwa kuondoka eneo hilo.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aongoza kikao cha kufunga jopo la kiuchumi nchini Angola.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari