Russia kukabiliwa na vikwazo iwapo itaivamia Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ametangaza kwamba mataifa ya G7 yameionya Russia kuwa itakabiliwa na hali ngumu ikiwemo vikwazo vya kiuchumi kama itafanya uvamizi ndani ya Ukraine.