Ripoti zaonyesha mazingira ya waandishi wa habari ni mabaya katika nchi saba

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaadhimisha uhuru wa vyombo vya habari huku ripoti mbalimbali zikitolewa zikionyesha mazingira ya waandishi wa habari ni mabaya katika nchi saba kati ya kumi kote duniani.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres ametoa wito wa kuwasilishwa kwa haraka msaada wa kibinadamu kwa haraka kwa watu wanaokabiliwa na mgogoro wa vita nchini Sudan.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari