Repoti Maalum (1) : Kenya ilivyokabiliana na vitendo vya uhalifu

Your browser doesn’t support HTML5

Jinsi vyombo vya usalama nchini Kenya vilivyokabiliana na vitendo vya uhalifu baada ya kuzuka wimbi jipya la watu wenye silaha waliokuwa na nia mbaya ya kutumia misikiti kuwahubiria imani kali vijana kuyumbisha usalama wa taifa la Kenya.