Ramaphosa aeleza nini nchi zinazoendelea zitapoteza

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika asema janga la corona ni tishio kwa nchi zinazoendelea katika kufikia malengo yake ikiwemo elimu, afya na kutokomeza umaskini.