Ramadhan: Wakimbizi wa Kiislam Goma wamshukuru Mungu kwa kuwapa fursa ya kumuabudu

Your browser doesn’t support HTML5

Waislam walioko katika kambi ya wakimbizi katika mji wa Mudigi Wilayani Nyiragongo, Kivu Kaskazini, DRC waeleza namna wanavyomshukuru Mungu kwa msaada wanaoendelea kuupata.

Wanasema pamoja na changamoto za kuwa na sehemu ndogo ya ibada bado wanaweza kutekeleza ibada zao na hususan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Endelea kusikiliza mahojiano haya maalum na mwandishi wetu Austere Malivika.