Duniani Leo : Machi 2 : Zanzibar : Rais Mwinyi amuapisha Masoud

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya kitaifa Zanzibar Othman Masoud Othman apishwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia.