Rais wa zamani wa Burundi afariki kwa COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya afariki kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.
- Ethiopia yatangaza donge nono kwa yoyote atakayetoa taarifa zitakazo saidia kukamatwa kwa viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la Jimbo la Tigray.

- Zaidi ya wanafunzi 300 waliokuwa wametekwa Nigeria waachiliwa huru.