Rais wa Ukraine ashinikiza msaada zaidi wa kijeshi mbele ya wabunge wa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy na mwenzake wa Marekani Joe Biden walijaribu kusihi wabunge wa Marekani kuidhinisha msaada wa dola bilioni 61 kwa Ukraine, wakati taifa hilo likiendelea kukabiliana na uvamizi wa Russia.