Rais wa Ukraine alihutubia Bunge la Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ahutubia Bunge la Marekani kwa njia ya mtandao na kutoa wito wa msaada zaidi wa kijeshi na kibinadamu 

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yakamilisha mchakato wa kukodisha visiwa 19 kwa shughuli za utalii.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari