Rais wa Poland alihutubia bunge la Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Poland ahutubia bunge la Ukraine wakati Rais wa Marekani Joe Biden akituma msaada zaidi kwa nchi hiyo huku Russia ikiendelea na uvamizi.

- Kongamano la uchumi kujadili changamoto za uchumi duniani linaendelea mjini Davos.

- Mapigano makali yanaendelea kati ya waasi wa M23 na majeshi ya DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari