Rais wa Marekani atetea uamuzi wa kuondoa majeshi Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Taliban walisheherekea katika mitaa ya Kabul kufuatia kukamilika kuondoka kwa Jeshi la Marekani nchini Afghanistan na kuondoka ndege yake ya mwisho, huku Rais wa Marekani akitetea uamuzi huo ambao ulipata ukosoaji.