Rais wa Marekani ajadili uhamiaji na tatizo la dawa za kulevya alipokutana na Rais wa Mexico

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden akutana na mwenzake wa Mexico Andres Manuel Lopez kujadili usalama wa kikanda, ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya mambo mengine. Mkutano huo utashirikisha viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hizo mbili kabla ya mkutano wa viongozi wa Amerika Kaskazini

- Dharuba yapiga California na kusababisha vifo zaidi ya watu kumi, umeme kukatika na maoni ya hali ya hewa kutolewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.