Rais wa Ivory Coast atekeleza ahadi ya kupunguza idadi ya mawaziri
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ivory Coast apunguza idadi ya mawaziri katika serikali yake ikiwa ni ndogo ikilinganishwa na ile ya baraza la mawaziri lililotangulia, akiwabakisha mawaziri wa ulinzi na mambo ya nje.