Rais wa Chad afariki dunia kutokana na majeraha

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Chad Idriss Déby ambaye alichaguliwa tena hivi karibuni kuongoza taifa hilo baada ya kuongoza takriban kwa miongo mitatu afariki dunia kutokana majeraha wakati akiwa mstari wa mbele kupambana na waasi.