Rais Trump atishia kutosaini muswada uliopitishwa na Bunge

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump atishia kutosaini muswada wa kufadhili shughuli za serikali na kupambana na virusi vya corona Marekani.
- Malawi yafunga mipaka yake baada ya kuripoti maambukizi mapya ya virusi vya corona.
- Ufaransa yafungua mipaka yake kwa masharti kwa watu wanaotoka Uingereza kwa masharti wawe na vyeti vikionyesha hawajaambukizwa virusi vya corona.