Rais Trump ahutubia bunge kwa mara ya kwanza
Your browser doesn’t support HTML5
Akilihutubia bunge kwa mara ya kwanza tangu kuchukua madaraka Rais Donald Trump ameahidi kutekeleza ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi mwezi Novemba mwaka 2016.