Rais Samia kuunda tume kutafiti COVID-19 Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan asema ataunda tume kutafiti na kushauri jinsi ya kukabiliana na janga la COVID-19.