Rais Samia awahimiza Watanzania kujikinga na COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Samia awahimiza Watanzania kujikinga na COVID-19 wakati wananchi wengi wamekuwa wakiendelea kupuuzia kuchukua tahadhari hata baada ya serikali kuthibitisha kuwepo kwa wimbi la tatu la virusi vya corona aina ya Delta.