Rais Samia aeleza hasara za kuwa na nguvu kazi isiyokuwa na ujuzi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan aeleza kuwa na nguvu kazi isiyokuwa na ujuzi ni miongoni mwa changamoto inayokwamisha maendeleo Afrika.