Rais Ruto asisitiza wanajeshi wa Kenya wanaenda DRC kuwalinda wanaadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa wanajeshi wa kenya watajiunga na kikosi cha Jumuiya ya Afrika Mashariki kinachopelekwa mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ili kupambana na makundi ya waasi.

Makundi hayo yameongeza mashambulizi mashariki ya DRC na kuongeza uhasama wa kidiplomasia kati ya DRC na Rwanda.