Rais Ramaphosa arejea kazini baada ya kujitenga kwa wiki moja

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa arejea kazini baada ya kujitenga kwa wiki mmoja tangu alipogunduliwa kuwa na maambukizi ya COViD-19.