Rais mteule kutangaza timu ya washauri wa sera za uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kutangaza washauri wake wakuu wa sera za uchumi, huku akitarajiwa kuchukuwa madaraka wakati uchumi ukiendelea kudorora kutokana na janga la corona.
Wabunge 19 wa Chadema ambao walifutwa uanachama wao watangaza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.