Rais mpya wa Somalia atakabiliwa na changamoto za usalama na ufisadi

Your browser doesn’t support HTML5

Hassan Sheikh Mohamud anachukua madaraka baada ya miezi kadhaa ya ukosefu wa uthabiti wa kisiasa, changamoto za usalama na ufisadi huku nchi hiyo ikikabiliwa na uasi wenye ghasia na ukame mbaya.