Rais Magufili aagiza vyuo vikuu kufunguliwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais atoa agizo kwa wizara zote husika kuandaa matayarisho yote yanayo hitajika kuwawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni ifikapo Juni 1, 2020.