Rais Biden ajivunia mradi wake wa kuijenga upya Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amesema anajivunia mafanikio yake ya kupitishwa na Baraza la Seneti kwa mpango wa ujenzi mpya wa miundombinu utakaogharimu dola trilioni 1.